Tanzania yapongezwa na Malawi.

Rais wa Malawi Mh Lazarus Chakwera (kulia )akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Malawi Mh Lazarus Chakwera ameishukuru Tanzania kupitia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda kwa ushirikiano inaouonyesha kwa nchi hiyo na jeshi lake kupitia michezo ikiwemo Gofu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS