Vijana 659 wahitimu mafunzo ya Jeshi la akiba
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla leo amefunga Mafunzo ya Vijana wa Jeshi la akiba Mgambo Mkoani humo ambapo jumla ya Vijana 659 wamehitimu na wapo tayari kushirikiana na Serikali katika shughuli mbalimbali ikiwemo Kuimarisha Ulinzi na usalama kwenye Mitaa