Watumishi wa afya watano wasimamishwa Magu
Mkuu wa wilaya ya Magu Salum Kalli amewasimamisha kazi watumishi watano wa idara ya afya wasio waaminifu ambao wamekuwa wakitumia taaluma yao vibaya kwa kutoa lugha zisizofaa kwa wagonjwa, kuomba rushwa pamoja na kuhusika na upotevu wa dawa katika Zahanati na vituo vya afya wilayani humo