Wanaharakati wadai uchaguzi Kalenga ulivurugwa
Vyama vya Chadema na CCM vinatuhumiwa kuhusika na vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu pamoja na vitisho wakati wa uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa kiasi cha kuufanya uchaguzi huo kuwa na dosari.