Tanzania ina kiwango kidogo cha kifua kikuu sugu

Mkurugenzi mkuu wa NIMR Dkt Mwele Malecela.

Tanzania imetajwa kuwa na kiwango cha chini cha wagonjwa wanaougua kifua kikuu chenye usugu wa dawa ambacho hakitibiki na dawa za kawaida zinazotumika kutibu ugonjwa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS