Z Anto aeleza yaliyomkuta Kenya Msanii wa Muziki Z Anto, ambaye ametokea huko Kenya kwa ajili ya kufanya shoo iliyokosa wahudhuriaji, ameibuka na kulitolea ufafanuzi suala hili ambalo linaweka rekodi mbaya kabisa katika historia ya muziki wake. Read more about Z Anto aeleza yaliyomkuta Kenya