Katikakatika ya umeme kukoma Desemba Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato Serikali imesema kwamba hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba mwaka huu tatizo la umeme kukatika litakwisha mara baada ya mradi wa Kinyerezi 1 Extension utakotoa megawati 185 kukamilika. Read more about Katikakatika ya umeme kukoma Desemba