Watanzania watakiwa kuunga mkono maboresho Stars
Beki kisiki wa zamani wa timu ya Simba na taifa stars Boniface Pawasa ambaye alikua mmoja wa makocha na wachezaji wa zamani waliounda jopo la wang’amuzi wa vipaji katika michezo ya mikoa ikiwa ni mchakato wa TFF katika mpango wa maboresho ya timu ya taifa stars amewataka watanzania kuacha kubeza mpango huo wa TFF.