Black Sensation

BLACK SENSATION ni tamasha lifanyikalo kila mwaka nchini Msumbiji chini ya kampuni ya Juega casa LTD, linajihusisha na masuala ya burudani hasa mziki wa miondoko ya 'kwaito', 'Afro house' na 'Soul' iliyozoeleka na kupendwa zaidi nchi za Afrika kusini.

Baada ya kufanya vizuri nchini Msumbiji, tamasha hili lilianza pia kufanya matamasha yako katika nchi za Afrika Mashariki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS