Wakazi ashangaa Zuchu hajui nyimbo zake
Rapper Wakazi ameendelea kupishana kauli na msanii mwenzie Zuchu yote haya yametokana na mjadala ambao umekuwa ukizingumziwa sana kwa siku ya jana kuhusu baadhi ya wadau na mashabiki kumshindanisha #Jide na #Zuchu katika upande wa uandishi pamoja na live performance