Kili Music Tour

Kili Music tour ni tamasha kubwa lifanyikalo kila mwaka linalowashirikisha wakali wa miondoko mbalimbali ya muziki Tanzania.

Tamasha hili linamilikiwa na kampuni ya TBL kupitia kinywaji chake kizuri kijulikanacho kama Kilimanjaro premium lager. Tamasha hili linalotembelea mikoa mbali mbali Tanzania na waratibu wakuu wa tamasha hili ni East Africa Television/radio ambapo walianza kazi hii rasmi mnamo mwaka 2012 ambapo Kili Music Tour ilitembelea mikoa sita ya Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS