Phina alia kuporwa na Cindy

Msanii wa muziki Cindy Sanyu ameshambuliwa na mwanadada Phina Mugerwa wa huko nchini Uganda kwa tuhuma za kumuibia mpenzi na baba wa mtoto wake, mwanasoka Ken Muyiisa raia wa Uganda ambaye anaishi huko Afrika Kusini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS