Wananchi wapewa onyo uharibifu msitu wa Geita
Mazoezi maalumu ya wiki mbili kwa Askari na maafisa wa Jeshi la wananchi pamoja na jeshi la Akiba wilaya ya Geita yanayofahamika kama Timua Vumbi yamehitimishwa rasmi huku Serikali ikitoa onyo kwa wananchi wanaojihusisha na uharibifu wa mazingira katika hifadhi ya msitu wa Geita