Diary ya Lady Jay Dee Wiki iliyopita Jide alinunua maua ya miche. Kama unataka kufahamu maua hayo ameyapanda wapi basi usikose kutazama kipindi, ambacho pia kitakuonyesha mishe zake za kila siku.Submitted by Sophia on Jumatatu , 10th Mar , 2014 Read more about Diary ya Lady Jay Dee