Lugalo gofu kushiriki shindano majenerali Malawi

Wachezaji 12 wa Klabu ya Golf ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo wakiongozwa na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara wanatarajiwa kuondoka leo (Jumatano kuelekea Lilongwe Nchini Malawi kushiriki mashindano ya Siku Nne ya Mchezo huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS