Makamu wa Rais Kumwakilisha Rais Samia Ivory Coast

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akipokelewa Nchini Ivory Coast

Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt.Philip Mpango leo Oktoba 31 2022 amewasili Abidjan nchini Ivory Coast ambapo atamwakilisha Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan katika jukwaa la uwekezaji barani Afrika litakalofanyika Novemba 02 hadi 04 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS