Watalaamu kuanzisha kliniki za magonjwa.
Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Ustawi wa jamii na lishe kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. James Kengia imewataka sasa wataalamu wa afya kwenda kuanzisha kliniki za magonjwa yasiyoambukiza katika vituo vyao vya kutolea huduma ili kubaini vyanzo vya magonjwa hayo katika