Milioni 800 zatolewa kwa wajasiriamali Arusha.

Meneja wa Mfuko wa hifadhi ya jamii Josephat Komba.

Zaidi ya Milioni 800 zimetolewa kwa vikundi vya wajasiriamali kwa Mkoa wa Arusha kwa lengo la kuwaongezea mitaji pamoja na kuwawezesha kufungua viwanda vidogo vidogo kupitia shirika la viwanda vidogo SIDO.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS