CP Kaganda atakiwa kusimamia maslahi ya Polisi

CP Suzan Kaganda, wakati akila kiapo

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillius Wambura, leo Agosti 28, 2022, amemuapisha SACP Suzan Kaganda, kuwa Kamishna wa Polisi na Kamishna wa Kamisheni ya Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu, nafasi ambayo ameteuliwa na Rais Samia hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS