Mavunde ataka wakulima wapangwe vizuri
Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde, ametoa rai kwa mamlaka za upangaji wa matumizi ya ardhi nchini kubainisha maeneo ya kilimo na kuwapanga vizuri wakulima ili kupunguza migogoro ya ardhi inayosababishwa na mahitaji ya shughuli za kilimo na hivyo kupelekea uvamizi kwenye maneo.