Serikali yachimba visima virefu maji ya mifugo
Wakati serikali bado ikiwa katika harakati za kuokoa uhai wa bonde la Ihefu ambalo ndilo chanzo kikuu cha Maji yanayotiririka katika Mto Ruaha, tayari Shirika la hifadhi za Taifa TANAPA wamechimba Visima virefu vya maji kwa ajili ya mifugo ya wakazi wa vijiji jirani na hifadhi hiyo.