UTAFITI: WANAOLALA MCHANA WANACHELEWA KUZEEKA
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na watafiti wa Chuo Kikuu cha London umebaini usingizi wa mchana una faida mbalimbali ikiwemo kuweka sawa utendaji kazi wa ubongo na kuchelewa kuzeeka kwa miaka mitatu hadi sita.