Kali Ongala ni Kocha mwenye uzoefu aliyewahi kufundisha timu ya Azam FC na timu za vijana za Tanzania.Pia amewahi kucheza klabu ya Yanga siku za nyuma uzoefu wake wa kucheza mpira pamoja na kufundisha Tanzania unaweza kuisaidia kwa kiasi kikubwa KMC kuyafikia malengo yake ya msimu huu wa 2024-2025.
Timu ya KMC imemtangaza kocha kali ongala kuwa kocha mpya wa timu hiyo baada ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha mkuu wa KMC FC Abdihamid Moalin.