Waliomuua mtoto na kuiba ng'ombe wakamatwa

Ng'ombe

Watu kadhaa ambao wanatuhumiwa kufanya kitendo cha kinyama kwa kumuua mtoto wa miaka 10 aitwaye Mtemi Ndambo, na kutoweka na ng'ombe aliokuwa nao kondeni katika Kijiji cha Kakese, Kata ya Kakese wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, jeshi la polisi limefanikiwa kuwanasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS