Serikali yaamuru Shule ya CCM ivunjwe Kigoma
Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa wa Kigoma imeamuru kuvunjwa kwa majengo ya shule Sekondari Chumvi, Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyopo wilayani Uvinza kufuatia eneo la shule hiyo kudaiwa kumilikiwa na kanisa Kisheria