'Rais amedhamiria kuimarisha sekta ya afya' Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa kuwezesha upatikanaji wa wataalam, dawa, vitendanishi na vifaa tiba. Read more about 'Rais amedhamiria kuimarisha sekta ya afya'