Moto waua watoto 11 shuleni Watoto 11 wamefariki dunia baada ya moto kuzuka mapema leo katika shule ya watoto wasioona nchini Uganda.Watoto eengine wanne wako katika hali mahututi na wanatibiwa hospitalini. Read more about Moto waua watoto 11 shuleni