Dereva wa basi akamatwa na Leseni ya pikipiki
Jeshi la polisi mkoani mwanza linamshikilia Dereva wa basi la abiria lenye namba za usajili T 622 EFG linalofanya safari zake mkoani mwanza kwenda Morogoro kwa kukutwa na leseni ya kuendesha pikipiki huku yeye ni dereva wa basi la abiria.