Waziri Mkuu mpya Uingereza aahidi kuwa mnyenyekevu

Waziri Mkuu mpya wa Uingereza Rishi Sunak (42)

Waziri Mkuu mpya wa Uingereza Rishi Sunak (42), amewaahidi Waingereza kuwa atawahudumia kwa uadilifu na unyenyekevu  na kusema licha ya Uingereza kuwa ni nchi kubwa lakini inakabiliwa na changamoto za kiuchumi na kusisitiza utulivu na umoja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS