Ukaguzi vituo vya mafuta Mwanza waanza
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kanda ya ziwa, imefanya ukaguzi wa vituo vya mafuta 121 na kubaini vituo 12 vinaendeshwa bila kuwa na bima hivyo kuhatarisha maisha ya wafanyakazi na wateja wao pindi yatakapotokea majanga ya moto.