Ulicheza na pesa za miradi nakufuta kazi - Bulembo
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga Halima Bulembo ametishia kuwaondoa kazini watendaji watakaofanya mchezo na shilingi milioni 180 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwajili ya ujenzi wa vyumba 9 vya madarasa ya wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023