Polisi watoa ufafanuzi tukio la mauaji Kilombero

IJP Camillus Wambura

Jeshi la polisi Nchini limetoa ufafanuzi kuhusu tukio la mauaji yaliyotokea Oktoba 23 mwaka huu katika kijiji cha Ikwambi Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro yaliyotokea wakati Jeshi la polisi likiziua uvunjifu wa amani kati ya wakulima na wafugaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS