Vyuo vyatakiwa kutoa maarifa yanayoenda na wakati

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Wakili Amoni Mpanju

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Wakili Amoni Mpanju, amesema jamii ya Kitanzania ili iweze kukuza uchumi wake lazima vyuo vya maendeleo ya jamii nchini viwekeze zaidi kwa watu kwa kuwapatia maarifa yanayoendana na wakati wa sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS