Balozi asisitiza taarifa za polisi zisipotoshwe
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar amesema kuwa maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi wanapaswa kuwa makini na uwasilishwaji wa taarifa kwa umma ili kuepuka baadhi ya watu wengine kuzibadilisha taarifa kwa lengo la kupotosha wananchi wakati wa majanga na dharura.