Rais Samia afanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali ikiwa pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Dkt. Florens Martin Turuka ambaye ni Katibu Mkuu Mstaafu.