Mifumo rasmi itumike kuboresha kazi za serikali Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa, Rashid Mchatta Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Rashid Mchatta amewataka watumishi wa umma kutumika mifumo rasmi ya uendeshaji shughuli za serikali ikiwemo mabaraza ya wafanyakazi kuongeza tija mahala pa kazi. Read more about Mifumo rasmi itumike kuboresha kazi za serikali