Ondoeni vizingiti huduma za Afya
Mkuu wa mkoa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaagiza madaktari na wauguzi wa hospitali za serikali kuondoa vizingiti kwa wagonjwa wanaokwenda kutibiwa kwenye hospitali hizo ili kuondoa taswira mbaya kwenye sekta hiyo.