Meya Arusha atoa onyo kwa watoa taarifa za uongo
Meya wa jiji la Arusha Maxmilan Iraqhe ametoa onyo kwa mtu yeyote atakaebainika kutoa taarifa za uzushi zinazolenga kuchafua hadhi ya halmashauri ya jiji hilo hasa katika upande wa mapato kwani kwakufanya hivyo ni kinyume cha taratibu zilizowekwa