Daraja la Jangwani kukamilika kwa miaka miwili

Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS