Latra Kupunguza Kero Ya Miundombinu Kwa Wananchi
Katika kuhakikisha changamoto za watumiaji wa huduma ya miundombinu ardhini inapungua, Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri ardhini imejizatiti kuhakikisha inatatua kero hizo kw watumiaji ambao ni wananchi wa kawaida.