Barcelona yatibua rekodi ya Real Madrid
Kabla ya mchezo wa jana El Clasico kuchezwa Mabingwa watetezi wa La liga Los Brancos ilikuwa inapambania rekodi ya kucheza michezo 43 bila kupoteza rekodi ambayo ilikuwa inashikiliwa na Barcelona ya kucheza michezo 43 bila kupoteza kuanzia 2017-2018.