Wakuu wa wilaya watakiwa kusimamiwa lishe Mkuu wa mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani, Mkuu wa mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani, amewasainisha wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Tabora mikataba maalum ya usimamiaji wa shughuli zote za lishe katika mkoa huo. Read more about Wakuu wa wilaya watakiwa kusimamiwa lishe