IGP Wambura afanya mabadiliko ya makamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza Ramadhani Ng 'anzi kuwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania Read more about IGP Wambura afanya mabadiliko ya makamanda