Rais Dk. Mwinyi afanya uteuzi hii leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi leo Oktoba 20, 2022 amemteua Is-haka Khamis kuwa Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi, Zanzibar. Read more about Rais Dk. Mwinyi afanya uteuzi hii leo