Mke auawa akituhumiwa kutoka kuchepuka

Sifa Lusemwa

Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia Castory Abusalam Kindole mwenye umri wa miaka 48 mkazi wa Kijiji cha Idindilimunyo wilayani Wanging’ombe kwa tuhuma za mauaji ya mke wake Sifa Lusemwa  (37) kwa wivu wa mapenzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS