Afya za watanzania ni kipaumbele cha serikali Katika hotuba yake ya kulivunja Bunge la 12 leo jijini Dodoma, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza mafanikio yaliyopatikana katika mapambano dhidi ya UKIMWI nchini. Read more about Afya za watanzania ni kipaumbele cha serikali