Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa
Watanzania milioni 31,282,331 wamejitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la makazi nchi nzima ikiwa ni Sawa na 94.83%, ya lengo la watu walio kwenye umri wa kujiandikisha ambao ni milioni 32,987,576