Vyombo vya ulinzi vidhibiti uingiaji magendo

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama mkoa wa Dar es salaam kuhakikisha wanashirikiana na mamlaka ya mapato (TRA) kuhakikisha wanadhibiti uingiaji wa bidha za magendo katika mkoa wa Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS