Kila Mtanzania atakiwa kuwa na NIDA

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuwa na namba ya kitambulisho cha Taifa yani NIDA, ili kurahisha huduma za kidigitali zitakazomtambua kila raia kwa namba yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS