Robbie Coltare afariki dunia
Muigizaji Robbie Coltrane, ambaye aliigiza kama Hagrid katika filamu za Harry Potter, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72. Muigizaji huyo wa Uskoti pia aliigiza katika tamthilia ya upelelezi ya TV Cracker na filamu ya James Bond.